Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu ombi la aliyekuwa
Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye leo amejiuzulu
wadhifa huo na
kukihama chama cha CCM na kuomba kujiunga CHADEMA.
Akiongea na mwandishi wa East Africa Television, Mkurugenzi wa
Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema,
amesema CHADEMA inamkaribisha mtu yeyote anayetaka kujiunga na chama
hicho, kwani chama cha siasa ni watu.
Msikilize hapa chini.


8:42 AM
0 comments:
Post a Comment