Friday, May 9, 2014

ATAKA UZINZI UKOMESHWE KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA

Dodoma. Mbumge wa Chwaka (CCM) , Yahaya Kassim Issa ameitaka Serikali  kuchukua hatua ya kukomesha uzinzi ili kuzuia maambukizi mapya ya ugonjwa  ukimwili.

Alisema hayo jana  wakati akichangia hotuba ya bajeti ofisi ya waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha  2014/2015.

Suala la kwamba tunawapa watu dawa. mtu mmoja  anaonekana  kuwa imara(strong) anaambukiza wengine  haitusaidii, alisema.

Alipohoji  kuwa iwapo  kila mtu kati ya watu zaidi ya milioni moja ambao wanaishi na virusi vya ukimwi(VVU) ataambukiza mmoja, kutakuwa na watu wangapi wanaoishi na virusi hivyo? Na watu hawa unadhani unawapa dawa, kwa kweli hatuwezi kufanikiwa  lazima mtumie uhalisia wa kupambana na tatizo hili, alisema.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Powerade Coupons